Swahili Articles

Articles in Swahili

Jinsi ya kuangalia nyimbo kwa Recent Played/ Most Played/ Last played.
Boomplay ina namna tatu za kuangalia nyimbo kwenye upande wa library. Recently Played Most Played Last Played  1. Fungua app na bofya Library ...
Mon, 28 Sep, 2020 at 1:56 PM
Jinsi ya kupata Ingizo jipya/New Release.
Unaweza kupata nyimbo mpya katika ukurasa ‘Discover’ ukitumia menu iliowekwa ambayo ni: Slides, Trending, Charts, New Releases, Albums, Artists, na Genres. ...
Fri, 4 Nov, 2022 at 2:34 PM
Jinsi ya kuweka au kutoa Notification (On/Off)
Tunatuma notifications kwa watumiaji wetu kuwapa taarifa za nyimbo mpya, msanii mpya, video mpya, playlist, na taarifa zingine ndani ya app. Tafadhali f...
Fri, 4 Nov, 2022 at 2:48 PM
Jinsi ya kutumia Crossfade.
Crossfade huwezesha mtumiaji kucheza nyimbo wakati huo huo na mabadiliko laini kwa muda mfupi. Furahia kusikiliza nyimbo nyingi na huduma yetu ya Crossfade ...
Fri, 4 Nov, 2022 at 2:53 PM
Jinsi ya kubadili Themes.
1. Fungua app na nenda kwenye 'Account'  2. Bofya kwenye Setting Juu upande wa kulia 3. Bofya kwenye 'Theme' 3.Chagua them...
Fri, 4 Nov, 2022 at 2:59 PM
Jinsi ya kupata Equalizer.
Tengeneza sound uipendeyo kutokana na aina ya mziki. 1.  Fungua app na bofya 'Account' 2. Fungua kwenye mziki unaoplay. 3. Bofya kwe...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:01 PM
Jinsi ya kubadili Lugha.
Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting 3. Bofya 'Language'  4. Chagua Lungha uipendayo kwenye orodha.
Fri, 4 Nov, 2022 at 3:15 PM
Jinsi ya kutumia kipengele cha Lock Screen.
Kudhibiti nyimbo kwenye lock screen, Hakikisha kipengele cha Lock Screen kipo ON.  Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting ...
Fri, 4 Nov, 2022 at 3:20 PM
Jinsi ya kututumia Maoni/Feedback
Je ungependa kututumia maoni, kutoa taarifa ya tatizo au ungependa tuboreshe vipi huduma zetu? Basi, fata hatua hizi na ujumbe utatufikia moja kwa moja. ...
Wed, 9 Nov, 2022 at 11:06 AM
Kazi ya Reward Points/BoomMall
BoomMall ni sehemu katika app inayokupa nafasi ya kujishindia kupata zawadi nzuri mbalimbali kutoka Boomplay, ikiwemo muda wa maongezi, subcriptions na Boom...
Wed, 9 Nov, 2022 at 12:31 PM