Kudhibiti nyimbo kwenye lock screen, Hakikisha kipengele cha Lock Screen kipo ON. 


Fungua app na bofya 'Account'


2. Bofya kwenye setting


3. Bofya 'Lock Screen' kuwasha au kuzima kipengele hiki.


4. Screen yako itaonekana namna hii unapoweka ON lock screen yako.