BoomMall ni sehemu katika app inayokupa nafasi ya kujishindia kupata zawadi nzuri mbalimbali kutoka Boomplay, ikiwemo muda wa maongezi, subcriptions na Boomplay merchandise. Kuna mambo unayoweza kufanya kwenye BoomMall. Angalia jinsi unaweza kupata points, kubadili address yako vingine vingi. 


Fungua app kisha bofya sehemu ya account


Bofya katika kipengele cha BoomMall



Jinsi ya kukomboa zawadi.


Tafadhali tambua zawadi zinapatikana Ijumaa, saa 10 asubuhi, Muda wa Nigeria. Angalia zawadi za kukomboa na tafadhali soma maelekezo, masharti na vigezo vizuri kabla ya kukomboa ili kuelewa vitu vinavyohitajika.


Mfano,ungependa kukomboa Boomplay subscription (Muda wote upo kwa ipo ya kukombolewa), anagalia hatua apa chini:


Chagua kipengele unachokitaka kutokana na points ulizonazo.


Bofya kwenye Redeem Product na kisha fata maelekezo.


Jinsi ya kubadili Adress/Namba ya simu


Unaweza kuhitaji kubadilisha nambari yako ya simu (Airtime credit) anwani ya mahali ambapo unataka zawadi yako iliyokombolewa ifike. Inashauriwa ufanye hivi kabla ya kuelekea kukomboa zawadi. Kukomboa zawadi kabla ya kubadilisha maelezo haya kunaweza kusababisha kughairi ukombozi uliofanikiwa.


Tafadhali kumbuka unaweza kubadili mabadiliko haya siku moja au masaa kabla ya kuanza kukomboa kuanza saa 10 asubuhi muda wa Nigeria, kumbuka, Mall yetu linategemea kidole chenye kasi zaidi, kuanza kukomboa. Pia kumbuka, status itabaki kama "Pending" kwani kituo hiki kiko wazi kwako kila wakati kuweza kufanya mabadiliko kila unapotaka.Kama utafanya hivyo tu, KABLA ya kukomboa bidhaa.


Shuka chini mpaka kipengele cha Add or change contact details na bonyeza hapo



Bofya Add Address


Ingiza  taarifa zinazohitajika kisha bofya Done



Angalia matumizi ya Points na Oda zako.


Unaweza kufuatilia matumizi ya points na  jinsi points zinavyoongezeka kwenye akaunti yako kwa kila kazi unayofanya. 


Bofya kipengele cha my Orders kujua historia ya bidhaa zote ulizozikomboa.




Ili kuangalia historia ya points ulizozikusanya, tafadhali bofya Task Centre. Hapa pia utajifunza njia mbali mbali za kukusanya points.


Bofya kwenye kipengele cha My Points.