Swahili Articles

Articles in Swahili

Buzz
Pata habari zote za nyimbo mpya,wasanii na maisha yao, burudani,michezo na trends za mjini na dunia nzima kupitia Buzz. Utahabarishwa na habari moto moto na...
Wed, 9 Nov, 2022 at 11:18 AM
Jinsi ya kutumia Play Screen
Kudhibiti taarifa ya nyimbo unazocheza kwenye screen yako, hakikisha kipengele cha play screen kipo ON.  1. Fungua app na bofya 'Account' 2. ...
Fri, 4 Nov, 2022 at 3:26 PM
Jinsi ya kupata maelezo zaidi wa juu huduma zetu
Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting Bofya kwenye kipengele cha Help Utaweza kuona makala mbalimbali hukusu huduma ...
Wed, 9 Nov, 2022 at 12:40 PM
Jinsi ya kubadili neno la siri (Password)
1. Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting 3. Bofya Change Password 4. Weka neno la siri la zamani, kisha weka neno ...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:01 PM
Jinsi ya kuunga account yako na barua pepe (Email Adress)
1. Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting 3. Bofya Bind with Email 4. Ingiza email address yako, kisha bofya GET CO...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:01 PM
Jinsi ya kuhifadhi Data (Data Saver)
Unaweza rekebisha ubora wa muziki kulingana na mtandao wako. 1. Fungua app na bofya 'Account' 2. Bofya kwenye setting 3. Peleka kuli...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:01 PM
Jinsi ya kufuta Cache Management
Ni vyema kufuta cache, hii huzuia kutumia mfumo wa zamani, inalinda taarifa zako za kibinafsi, na husaidia app kufanya kazi vyema na kwa haraka. 1. Fung...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:22 PM
Jinsi ya kucheza Games kwenye app
Tunazo games/michezo mbalimbali katika app, unaweza kucheza na kupata burudani. Fungua app kisha bofya alama ya BoomGames juu upande wa kulia AU F...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:46 PM
Namna ya kutumia kipengele cha Premium.
Kipengele cha premium kwenye Boomplay app, ni kipengele kinachokuwezesha mtumiaji kujiunga na subscription plan zetu mbalimbali zinazopatikana katika app. K...
Wed, 9 Nov, 2022 at 1:57 PM
Jinsi ya kufuta akaunti yako ya Boomplay (Kwa watumiaji wa iOS tu)
Fungua App Bofya kwenye alama ya picha yako ambayo ni Akaunti yako Bofya kwenye alama ya Setting juu upande wa kulia Bofya kwenye kipengel...
Wed, 9 Nov, 2022 at 2:07 PM