Unaweza rekebisha ubora wa muziki kulingana na mtandao wako.


1. Fungua app na bofya 'Account'


2. Bofya kwenye setting


3. Peleka kulia alama ya data saver kuweka ON, na peleka kushoto kuweka OFF