Pata habari zote za nyimbo mpya,wasanii na maisha yao, burudani,michezo na trends za mjini na dunia nzima kupitia Buzz. Utahabarishwa na habari moto moto na mpya kabisa.


Unaweza kuangalia recommended, entertainment, au kipengele chochote upendacho.AU kutengeneza post zako mwenyewe na watu wengine wakaweza kuona ulichopost.


1. Fungua App na nenda kwenye upande wa 'Buzz'


Tengeneza post zako wemwenyewe.Bofya alama ya Jumlisha


Angalia post za wengine.


Furahia upande wa burudani katika app!