1. Fungua app na bofya 'Account'


2. Bofya kwenye setting


3. Bofya Change Password


4. Weka neno la siri la zamani, kisha weka neno la siri jipya, kisha bofya done.