Tunazo games/michezo mbalimbali katika app, unaweza kucheza na kupata burudani.


Fungua app kisha bofya alama ya BoomGames juu upande wa kulia


AU Fungua App kisha bofya alama ya Account


Bofya kipengele cha BoomGames


Utafunguka ukurasa wa kucheza game


Unaweza kuchagua pia aina ya games unazopenda kucheza


Unaweza pia kuadd kipengele cha BoomGames kwenye screen ya simu yako, kwa kubofya alama ya kuadd juu upande wa kulia au tangazo chini. 


Itakuja message kuthibitisha kuweka katika home screen yako, bofya Add


BoomGame itakua katika Home screen ya simu simu yako. Ukibofya inakupeleka moja kwa moja kwenye BoomGames.