Ni vyema kufuta cache, hii huzuia kutumia mfumo wa zamani, inalinda taarifa zako za kibinafsi, na husaidia app kufanya kazi vyema na kwa haraka.


1. Fungua app na nenda kwenye 'Account' 


2. Bofya kwenye Setting Juu upande wa kulia

3. Bofya Cache Management 


4. Chagua cache unayopenda kufuta na kisha bofya clear cache