Kudhibiti taarifa ya nyimbo unazocheza kwenye screen yako, hakikisha kipengele cha play screen kipo ON. 


1. Fungua app na bofya 'Account'

2. Bofya kwenye setting


3. Bofya 'Play Screen' kuwasha au kuzima kipengele hiki.