1. Fungua app na nenda kwenye 'Account' 


2. Bofya kwenye Setting Juu upande wa kulia


3. Bofya kwenye 'Theme'


3.Chagua themes zilizopo.

 (Tutaongeza themes zaidi katika siku zijazo.)


Unaweza pia kutengeneza theme na picha zilizopo katika Library yako au themes ulizopakua.