Crossfade huwezesha mtumiaji kucheza nyimbo wakati huo huo na mabadiliko laini kwa muda mfupi. Furahia kusikiliza nyimbo nyingi na huduma yetu ya Crossfade ambayo inafuta ukimya kati ya nyimbo.


1. Fungua app na bofya 'Account'


2.Bofya  'Setting'


3. Bofya 'Crossfade', bofya alama kwenye kulia ili kuweka On, halafu chagua muda unaopenda.