Tunatuma notifications kwa watumiaji wetu kuwapa taarifa za nyimbo mpya, msanii mpya, video mpya, playlist, na taarifa zingine ndani ya app.


Tafadhali fata hatua hizi kuwasha na kuzima notifications.


1.Fungua app, kisha nenda kwenye 'Account'


2. Bofya 'Setting'


3. Bofya kwenye Enable/Disable Notifications', kisha fata maelekezo kufunga au kufungua notifications.