Tengeneza sound uipendeyo kutokana na aina ya mziki.


1.  Fungua app na bofya 'Account'


2. Fungua kwenye mziki unaoplay.


3. Bofya kwenye mistari mitatu juu kwenye kona 


Unaweza kupata equalizer pia kupitia kwenye  'Account' - 'Setting' - 'Equalizer'. Gonga kupata upata na kurekebisha sauti upendayo.


1. Fungua app na bofya 'Account'


2. Bofya kwenye setting


3. Bofya kwenye Equalizer