Unaweza kupata nyimbo mpya katika ukurasa ‘Discover’ ukitumia menu iliowekwa ambayo ni: Slides, Trending, Charts, New Releases, Albums, Artists, na Genres.


Fungua app, na kisha bofya sehemu ya juu Trendings


Unaweza kuangalia nyimbo kwenye Slides.


Pia unaweza kuangaliakwenye kipengele cha New


Unaweza kuperuzi Nyimbo mpya/ New Releases kwenye ukurasa wa ingizo jipya.


Pia unaweza kuwa unatembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupata posti za nyimbo mpya :)