Je ungependa kututumia maoni, kutoa taarifa ya tatizo au ungependa tuboreshe vipi huduma zetu? Basi, fata hatua hizi na ujumbe utatufikia moja kwa moja.


1. Fungua app na nenda kwenye 'Account'


3. Bofya kwenye ''Setting''


2. Bofya kwenye 'Feedback'


3. Unaweza kuandika na kutuma maoni/feedback yako kwa kuchagua maudhui ya ujumbe wako.