Boomplay ina namna tatu za kuangalia nyimbo kwenye upande wa library.

  • Recently Played
  • Most Played
  • Last Played 


1. Fungua app na bofya Library



2. Nenda kwenye 'Local Music'




3.Bofya kwenye mtindo unaoupenda na uangalie kutokana na listi.