Unaweza kusubscribe kupitia points katika BoomMall. Tafadhali fata hatua zifuatazo.


1. Fungua app


2. Nenda katika kipengele cha account chenye picha juu upande wa kulia katika ukurasa wa home


3. Bofya kipengele cha BoomMall


4. Chagua plan uitakayo kati ya siku, wiki, au mwezi. Hakikisha unapoint za kutosha kupata subscription.


5. Utapokea ujumbe kwenye app kuthibithisha umefanikiwa kusubcribe