1. Fungua app


2. Nenda katika kipengele cha account chenye picha juu upande wa kulia katika ukurasa wa home


3. Bofya kipengele cha Premium Subscription


4. Scroll chini mpaka kwenye  banner ya matangazo ya aina za subcription, slide pembeni mpaka kupata Tigopesa


5. Chagua subscription uipendayo, kati ya siku, wiki au mwezi, kisha bofya Purchase with Tigopesa now


6. Ingiza namba ya simu, majina yako na barua pepe kisha fata maelekezo yatayofata.


7. Kisha utapokea uthibitisho wa message umefanikiwa kujiunga na subscription