1.Kutangaza nyimbo na kuwekwa katika Playlist.


Kutangaza nyimbo zako au kuwekwa katika playlist zetu, tunaomba ututumie barua pepe ya maombi kupitia editorial@boomplay.com utasaidiwa.



2. Namna ya kuweka matangazo Boomplay


Tafadhali tutumie ujumbe kupitia barua pepe hii ads.boomplay@transsnet.com