Kwa mazungumzo, matokeo, na habari juu ya royalties kama msanii uliejindikisha na Boomplay!


Tafadhali tutumie barua pepe reporting@boomplay.com 


Utapata majibu kwa haraka.


Ikiwa haujasajiliwa kama msanii kwenyeplatform na unataka tu kujua habari juu ya Royalties, tafadhali wasiliana na CP wako, ambayo ni, kampuni ambayo umeamua kuitumia kusambaza nyimbo zako katika Boomplay.


Asante!