Je umesahau password au taarifa za kulogin kwa ajili ya CMS account?


Unashida kukumbuka password yako ya CMS?


Hakuna wasiwasi, tuandikie barua pepe contentsupport@boomplay.com na utapata majibu.Je! Una shida ya kuweka maudhui au kutumia akaunti yako ya CMS?


Una shida kuweka maudhui kupitia akaunti yako ya CMS?


Tutumie barua pepe contentsupport@boomplay.com utuambia tatizo na tutakusaidia.


Tutapeleka tatizo hilo kwa idara husika mara moja.