Ili kuweka picha katika profile yako na kuweka bio, utahitajika kwanza kuthibitishwa kwa akaunti yako (verified artist account)


Kama bado hujafanya ivo, tafadhali bofya linki hapa chini.


How to Claim/Access your Verified Artiste Profile


2. Baada ya ombi lako kupitishwa, tafuta ukurasa wako wa msanii kwenye app ukiwa ume log in na akaunti yako ya mtumiaji.


3. Bofya kwenye eneo la picha, ambapo itakupeleka kwenye ukurasa unaofata.


4. Bofya kwenye alama ya kusahihisha/edit upande wa kuu kulia.


5. Hapoa unaweza kusahihisha/edit artist profile picture na bio.Kila la kheri!