Kama Msanii, akaunti yako inaweza kuthibitishwa kwa kuomba profile yako kama msanii kwenye app.


Tafadhali fata hatua zifuatazo:


1. Pakua toleo jipya la app.

2. Nenda kwenye kipengele cha account 


3. Shuka chini (scroll) mpaka kipengele cha Boomplay For Artists


4. Bofya kwenye linki ya Apply now.


5. Ingiza jina lako kisha jaza fomu Jaza fomu na ufate hatua zitakazofuata. 


Tafadhali unapoweka Boom ID yako, unatakiwa kuweka Boom ID yako kama mtumiaji/user na sio ID yako ya msanii, gonga linki hapa chini kuangalia jinsi ya kujua Boom ID yako.


Jinsi ya kuangalia Boom ID


5. Subiri majibu kwenye app ndani ya siku tatu.


Kumbuka: 

Ikiwa ombi lako litakataliwa, tafadhali angalia ujumbe unaosema ni kwanini ombi lako lilikataliwa na fanya marekebisho muhimu kabla ya kuwasilisha tena.Kila la kheri!