Tungependa kuwa na nyimbo zako katika app yetu ya Boomplay!


Unaweza kuupload/kuweka nyimbo zako kupitia partner wetu, Afrotunes.


Tafadhali fungua link hii hapa chini ili ujiandikishe.


http://www.afrotunesdigital.com/


KUMBUKA: Afrotunes HAIPATIKANI kwa wasanii wa Nigeria.


Tafadhali kumbuka kuwa hatuna udhibiti wa jinsi barua pepe unayotuma kwa partner wetu itakavyojibiwa.


Asante kwa kuchagua Boomplay :).