Unaweza kutumia menu ya ‘Search’ kutafuta majina ya wasanii, nyimbo, au majina ya album.


Unaweza kutafuta;

  • Nyimbo
  • Albamu
  • Msanii
  • Playlist


1. Fungua app kisa bofya alama ya search


2. Bofya kwenye 'Search' juu kabisa


3. Unaweza kutafuta jina la msanii, jina la wimbo au jina la album. 


4. Matokeo ya utafutaji wako yataonekana, ikiwa ni album, nyimbo, au msanii