Unaweza kudhibiti data inayotumika katika kustream na kuboresha ubora wa sauti/Sound kwa kuchagua ubora wa kustream unaopenda. 


1. Fungua app na bofya kwenye account


2. Bofya alama ya Setting  iliopo juu upande wa kulia


3. Bofya kwenye Audio Quality


4. Chagua audio quality upendayo

Kumbuka: Audio quality aina ya Premium inapatikana ikiwa umejiunga na subscription plan yoyote kutoka Boomplay.