1. Nenda kwenye Library


2. Bofya kwenye Local Music 


3. Bofya kwenye 'Order' icon


4. Bofya Manage


5. Gonga wimbo ambayo ungependa kuiongeza kwenye queue


6. Chagua playlist ungependa kuongeza nyimbo kisha bofya Done.