Kuangalia lyrics za nyimbo, fata hatua zifuatazo;


1. Chagua nyimbo unayopenda kusikiliza, kisha bofya chini sehemu ya nyimbo inapocheza


2. Angalia cover song ya nyimbo inayocheza, kisha bofya juu upande wa sehemu ya Lyrics


3. Unaweza kuona lyrics pamoja alieweka lyrics hizoJinsi ya kuweka/upload lyrics za nyimbo


Kuweka lyrics za nyimbo, fata hatua zifuatazo;


1. Sogeza pembeni kwenye nyimbo unayoplay.


2. Bofya "Request Lyrics " kuomba Boomplay team iweke lyrics za nyimbo hiyo


3. Bofya 'Add Lyrics' kuweka lyrics, andika lyrics ya wimbo na bofya 'Done'