Je unapata shida kupata nyimbo Boomplay?


Tumia njia ya Scan Songs kuscan simu yako upate nyimbo zote kwa kufata hatua zifuatazo.


1. Bofya Library na bofya Local Music


2. Bofya alama ya Scan Songs


3. Bofya Scan Songs


4. App itascan simu yako kwa kupata miziki yote


6. App itakupa matokeo ya nyimbo zote zilizopo pamoja katika simu yako pamoja na video.