1. Nenda kwenye Library


2. Bofya kwenye Local Music 


3. Bofya kwenye 'Order' icon


4. Bofya kwenye order by


5. Chagua mtindo unaoupenda - Alphabetical, No. of Plays or Date Added


Unaweza kuwa unarudia mtindo huu kila mara kama (Alphabetical) au wowote uupendao.


6. Unaweza pia kutumia njia hii kuweka mtiririko wa nyimbo kutokana na majina ya file au majina ya nyimbo (track name, original file name)


7. Unaweza pia kutumia njia hii kuongeza au kufuta nyimbo.


Kumbuka: Number za kuplay zinaongezea kwa nyimbo zilizochezwa  zaidi ya sekunde 30.