1. Nenda kwenye app bofya kwenye Library


2. Bofya kwenye 'Local Music'


3. Hapa utaweza kuona nyimbo zote zilizopo kwenye library, yani ulizopakua kwenye app na zile zakwako binfasi ulizonazo kwenye simu, ambazo hukuzidownload Boomplay. 


4. Ili kupata nyimbo ulizodownload Boomplay, bofya kwenye Downloads. 


5. Ili kupata nyimbo zilipo kwenye simu yako ambazo hazikupakuliwa kutoka Boomplay, bofya Local.


6. Unaweza pia kuangalia nyimbo kuchagua majina ya wasanii, majina ya album, videos, na mafile ya muziki ulionayo kwenye simu.