Kujiunga kupitia namba ya simu Sign up using Mobile Number
1. Fungua app na bofya Sign Up kwa kutumia namba ya simu au barua pepe
2. Ingiza code ya nchi, namba ya simu na kisha bofya Next step
3. Itakuletea ukurasa wa kuingizi namba (Code), ingiza ulizopokea na kisha bofya next step
4. Weka neno la siri ungependa kutumia kisha bofya sign up & log in
5. Weka Jina lako, jinsia yako na umri, kisha bofya Done
6. Na hapo akaunti yako mpya itakua tayari.
Jinsi ya kujiunga kupitia Facebook
1. Fungua app na bofya Log In / Sign Up
2. Chagua kwenye alama ya Facebook na bofya kwenye kitufe cha kukubali masharti.
3. Itakupeleka katika ukurasa wa uthibitisho, ruhusu Akaunti yako kuunganishwa na Facebook.
4. Akaunti yako itakua imetengenezwa.
Jinsi ya kujiunga kupitia Twitter.
1. Fungua app na bofya Log In / Sign Up
2. Chagua kwenye alama ya Twitter na bofya kwenye kitufe cha kukubali masharti
3. Itakupeleka katika ukurasa wa uthibitisho, ruhusu Akaunti yako kuunganishwa na Twitter.
4. Akaunti yako itakua imetengenezwa.
Jinsi ya kujiunga kupitia Gmail
1. Fungua app na bofya Log In / Sign Up
2. Chagua Continue with gmail na bofya kwenye kitufe cha kukubali masharti
3. Weka akaunti ya email unayoitaka
4. Akaunti yako itakua imetengenezwa.
Kualikwa Na (Invited By)
Kipengelea cha kualikwa na (The Invited By Tab) inapatikana ndani ya siku saba (7) tu kutoka siku ya kusign up. Kama ulialikwa na rafiki, unaweza kuweka code ya mualiko kwa kufata htua zifuatazo;
1. Fungua app, kisha nenda kwenye profile yako juu upande wa kulia
2. Bofya kwenye alama ya setting
3. Kisha scroll chini mpaka kwenye alama ya invite friends
4. Soma na kisha fata maelekezo
5. Chagua njia au mtandao ungependa kumualika rafiki