Ikiwa utapenda kubadili namba ya simu, basi utatakiwa kutupatia baadhi ya taarifa ambazo zitatusaidia katika kubadili namba yako.


Tutumie barua pepe kupitia  usersupport@boomplay.com  ukiambatanisha taarifa mambo yafuatayo:

  • Namba ya simu ambayo ungependa kubadili na Boom ID

 

Baada ya kupokea maelezo hayo,tutabadili namba na kisha utapokea ujumbe wa uthibitisho.


Asante, Furahia mziki mzuri!