Profile yako inakuwa na mambo yafuatayo;

a. Username

b. Boom ID

c. Status

d. About

e. Followers, and following. 


Follow these steps to view your profile on the app.


1. Fungua app


2. Bofya kwenye alama ya akaunti juu upande wa kulia


3. Gonga kwenye jina lako


3. Profile yako itaonekana kwa mfano huu