Jinsi ya kusitisha auto-renewal kwenye subscription.

 

Tafadhali soma makala ambayo iliyopo katika Malipo ili kufahamu zaidi hatua za kufata kusitisha auto-renewal kulingana njia uliotumia kusubscribe.

 

Kumbuka kuwa mara tu utakapositisha huduma hii, itakubidi kurenew subscription yako kila mara itakapokua inaisha muda wake. 

 

Asante.