1. Fungua app


2. Bofya kwenye alama ya akaunti juu upande wa kulia


3. Bofya kwenye alama ya picha


4. Fata maelekezo na kisha bofya Done na utakua umebadili picha.