1. Fungua app


2. Bofya kwenye alama ya akaunti juu upande wa kulia


3. Bofya kwenye  alama ya kuhariri (Angalia mshale mwekundu kwenye picha)

4. Hariri jina lako upendalo  (Tafadhali kuwa makini wakati unafanya hivi kwasababu unaweza kubadili jina la matumizi mara moja tu. Haiwezi kubadilishwa tena ukishabadili, bofya Done.


Umemaliza! Utakua umebadili jina lako la utumiaji/ username.

Unaweza pia kutumia njia hii kuweka Tarehe yako ya kuzaliwa, Jinsia yako, na  Bio yako.