Boom ID yako ni ipi? 


Boom ID ni utambulisho wako pekee wa tarakimu nane katika Boomplay. 


Kuangalia Boom ID yako, fata maelekezo haya chini.1. Fungua app 


2. Bofya kwenye Akaunti


3. Bofya katika Profile yako yenye jina lako


4. Boom ID yako itaonekana chini ya jina lako