Ikiwa umetoka/log out kwenye akaunti yako na umesahau njia uliotumia kujiunga kwenye app/sign up kama (namba ya simu, Facebook, Twitter, au Gmail), tafadhali tutumie barua pepe usersupport@boomplay.compamoja na taarifa zifuatazo:

 

1. Boom ID  yako

2. Tarehe yako ya kuzaliwa (as inkama ulivoweka wakati unajisajili)

3. Aina ya simu uliotumia kusajili mf. Tecno.

4. Tarehe ya mwisho uliologin (inaweza kuwa mwezi).

 

Mara tu maelezo haya yatakapothibitishwa, utatumiwa ujumbe unaosema njia uliyojisajili na utaweza kuingia tena.

 

Furahia muziki mzuri :).