1. Nenda kwenye sehemu ya  Log in kwenye app.


2. Bofya kwenye use phone or email


3. Ingiza code ya nchi, namba ya simu na kisha bofya Next step


4. Gonga linki ya kusahau neno la siri/ Password.


5. Weka namba yako ya simu.


6. Gonga kupata code "Get Code", (utapokea ujumbe wenye code)

7. Ingiza code na kisha bonyeza Next.

8. Ingiza neno la siri jipya /new password


Kumbuka: 


Kma hujapokea verification code, tuandikie barua pepe usersupport@boomplay.com