Je ninaweza kupata nini na badge?

 

Unapopata taji badge ya taji 1, unastahili account yako kuwa verified kama Influential Boombuddy verified!

 

Ukikidhi hitaji hili, unaweza kututumia barua pepe kupitia usersupport@boomplay.com kuomba akaunti kuwa verified kama Influential Boombuddy!

 

 

Ninawezaje kukuza bedge yangu ya nyota??

 

Unapostream wimbo kwa siku, unapata nyota earn 0.1.

 

Unapostream, wimbo mmoja kwa siku 3 mfululizo, unapata 0.1 zaidi siku ya tatu na unapata nyota 0.2 zaidi siku ya saba.

 

4 Description: level_star_icon@3x =1 Description: level_moon_icon@3x

4 Description: level_moon_icon@3x =1 Description: level_sun_icon@3x

4 Description: level_sun_icon@3x =1 Description: level_crown_icon@3x

 

Endelea kustream!