Jinsi ya kutengeneza Playlist


1. Nenda kwenye ukurasa wa Maktaba na bofya kwenye Playlist


2. Bofya kwenye alama  '+' 


3. Weka jina la playlist kisha bofya 'SAWA'

Ikiwa ungependa playlist yako iwe ya faragha(binafsi), washa kitufe cha 'Weka kama Kibinafsi'


4. Itakupeleka kwenye hatua ya 'Ongeza Muziki'. Chagua nyimbo ungependa ziwepo katika plalist na kisha Kufanywa(done)

Imekamilika. Picha ya plalist yako itakua ni picha ya nyimbo ya kwanza uliochagua kuweka. Jinsi ya kuedit Playlist


1. Katika orodha ya plalist zako bofya playlist ungependa kuedit


2. Bofya kwenye kitufe cha edit/hariri


3. Bofya kitufe cha kuongeza nyimbo '+' ili kuongeza nyimbo kwenye list hiyo au chagua nyimbo unazotaka kuzitoa na kisha bofya  'ondoa zilizochagulia'. kisha bofya 'Maliza'

4. Jinsi ya kuedit orodha ya nyimbo kwenye playlist,bonyeza kuwa muda kitufe cha 'vidoti vitatu' pembeni ya wimbo wowote kisha kushusha chini au kupeleka juu. Kisha bofya 'Maliza'.


5.kubadili jina la playlist, au kubadili picha ya playlist, bofya sehemu iliochaguliwa na fanya mabadiliko, kisha bofya 'Maliza'Jinsi ya kushare Playlist


1. Chagua Playlist ungependa kushare


2. Bofya katika kitufe cha 'Share'


3. Chagua njia ya kushare unayopendelea kisha fata maelekezo


4. Umemaliza