Boomplay ina mifumo/hali nne (4) za kusikiliza nyimbo.


Order - Njia hii hucheza nyimbo zilizoorodheshwa katika mpangilio wa asili


Loop - Njia hii hucheza nyimbo zilizoorodheshwa katika mpangilio wa asili kutoka mwanzo hadi kumaliza na kurudia              mzunguko


Single - Njia hii inacheza nyimbo mmoja mfululizo.


Shuffle - Njia hii hucheza nyimbo zilizoorodheshwa ikijichagulia(randomly)Ili kubadili njia za kucheza nyimbo, fata hatua zifuatazo.


1. Bonyeza kwenye muziki unaocheza kwa chini


2. Bonyeza kitufe cha namna za kucheza (Chenye duara nyekundu) ili kupata namna tofauti tofauti unazotaka