Kabla ya kujiandikisha, tafadhali hakikisha una Boomcoins za kutosha.


Kwa Tanzania, Usajili hugharimu;

Kwa Siku: coins 449

Kwa Wiki: coins 1999 

Kwa Mwezi: coins 4999 1. Fungua App 

2. Bofya kwenye Menu kuu
3. Bofya kwenye Jisajili 
4. Sogeza kulia kwa ukurasa wa Usajili wa Boomplay wenye rangi ya bluu na ubonyeze Jisajili
5. Chagua mpango unaoutaka (Kila siku, kila wiki au kila mwezi) kwa kubonyeza 'Jisajili' pembeni chaguo lako
6. Utapokea wakati huo huo uthibitisho wa usajili wako7.  Imekamilika! Sasa unaweza kufurahia kupakua nyimbo kikomo na na kufurahia app bila matangazo.