1. Fungua  app
2. Bofya kwenye Menu kuu 
3. Bofya kwenye Jisajili 
4. Bofya Jisajili ili Kujiunga kwenye Ukurasa wa Usajili wa Google Play (Mpango wa kila mwezi ndio unapatikana tu)5. Bofya kwa 499 TZS / Month
6. Ingiza maelezo yanayotakiwa kwenye Google Play7. Fuata hatua ili kukamilisha usajiliKumbuka: Chaguo hili la usajili litarenew automatic  kila mwezi.Jinsi ya kusitisha automatic renew ya kila mwezi kwenye Google Play, fuata hatua hizi:


1. Fungua Google Play store kwenye simu yako


2. Bonyeza kwenye Menyu kuu


3. Bonyeza kwenye Usajili


4. Chagua Boomplay (Hii itakupeleka kwa ukurasa wa 'Dhibiti Usajili' ambapo utaona maelezo ya usajili wako na           Boomplay).


5. Bonyeza sitisha usajili ili kusitisha auto renewal