1. Fungua  app


2. Bofya kwenye Menu kuu 


3. Bofya kwenye Chaji Upya 
4. Chagua PesaPal


5. Chagua nchi, ingiza majina yako na email adress yako, kisha chagua kiasi, kisha bofya Submit.


5. Kisha chagua njia uipendayo kuongeza salio kisha bofya Complete


Kisha fata maelekezo yatakayofata, na akaunti yako itakua imeongezwa salio.