1. Fungua  app


2. Bofya kwenye Menu kuu 


3. Bofya kwenye Chaji Upya 


4. Chagua Google Pay


5. Bofya Chaji upya


6. Itakupeleka kwenye ukurasa wa kulipia wa Google Pay katika Play store


7.  Kamilisha ununuzi wa salio na Boomcoin zitaingia katika akaunti yako.