1. Fungua  App


2. Bofya kwenye Menu kuu


3. Bofya kwenye Chaji Upya


4. Chagua Kadi ya kuongeza Salio ya Boomplay, ingiza namba 12 ambazo ziko katika kadi, kisha bofya Chaji Upya. 


5. AU bofya kwenye Tambaza msimbo wa QR ambayo inapatikana katika kadi.


6. Utapokea ujumbe katika app inayothibitisha umekwisha ongeza salio.